MCHANGANUO WA OPTIONAL COURSE ZA BAED UDSM (COHU na COSS)

 

Unlike other programs, CoHU BaED's Aris Acount requires them to choose optional courses which are the subjects they prefer to teach.


ANALYSIS.

Semester 1 is usually required to study six courses. Two of them you find already filled with DS 112 and EF 100


The rest you will need to choose two courses from each subject you would like to teach.


That is, if it is Literature. Select LT 110 and LT 111 by ticking them


The codes of the relevant courses are as follows

I have tried to write to CoHu and CoSS BaED analysts.

On your aris you have already filled out the CORE COURSES that are 


Semester 1

EF 100

DS 112

Semester 2

DS 113

CL 106

CT 100


Normally each of your teaching subjects must study the two courses that I have listed here for each subject.


Linguistics

Semester 1

LL 101

LL 212

Semester 2

LL 102

LL 114


Literature

Semester 1

LT 110

LT 111

Semester 2

LT 112

LT 116


Kiswahili

Semester 1

KI 107

KF 102

Semester 2

KI 103

KI 117


Geography

Semester 1

GE 140

GE 142

Semester 2

GE 144

Ge 141



History

Semester 1

HI 103

HI 104

Semester 2

HI 261

HI 102


NOTE.

For the whole year ie semester 1 and 2 you have to study 12 courses. That is s1 courses 6 and S2 courses 6.

If you are careful you will discover the semester 2 Core courses there are three. So. You will need to opt out one of the courses in your teaching course. 

For example, you do not fully understand the query. I will explain it to you .. but if you want a quick answer click 

wa.me/255746966336 I will reply you quickly via that WhatsApp


Named Auron Athanas

Tofauti na program zingine, Aris Acount za CoHU BaED zinawahitaji  wachague optional courses ambazo ndio yale masomo wanayopenda kufundisha.


MCHANGANUO.

Semister 1 huwa inatkiwa usome kozi sita. Ambazo mbili kati yake unakuta tayari zimeshajazwa DS 112 na  EF 100


zinazobaki itatakiwa uchague kozi mbili kutoka kila somo ulilopenda kufundisha.


Yaani kama ni Literature. Chagua LT 110 na LT 111 kwa kuzipigia tiki


Code za kozi husika ni kama ifuatavyo

Nimejaribu kuwaandikia mchanganua CoHu na CoSS BaED.

Kwenye aris yako umeshajaziwa tayari CORE COURSES ambazo ni 


Semista 1

EF 100

DS 112

Semista 2

DS 113

CL 106

CT 100


Kwa kawaida inabidi kila somo lako la kufundishia lazima usome kozi mbili ambazo nimeziorodhesha hapa kwa kila somo.


Linguistics

Semista 1

LL 101

LL 212

Semista 2

LL 102

LL 114


Literature

Semista 1

LT 110

LT 111

Semista 2

LT 112

LT 116


Kiswahili

Semista 1

KI 107

KF 102

Semista 2

KI 103

KI 117


Geography

Semista 1

GE 140

GE 142

Semista 2

GE  144

Ge 141



History

Semista 1

HI 103

HI 104

Semista 2

HI 261

HI 102


ZINGATIA.

Kwa mwaka mzima yaani semister 1 na 2 inabidi usome kozi 12. Yaan s1 kozi 6 na S2 kozi 6.

Kama uko makini utagundua  semister 2 Core courses zipo tatu. Kwa hiyo. Utatakiwa ku-opt out kozi mojawapo kwenye masomo yako ya kufundishia. 

Km hujaelewa vizuri uliza. Ntakufafanulia.. ila ukitaka majibu ya haraka bofya 

wa.me/255746966336  nitakujibu kwa haraka kupitia WhatsApp  hiyo


Naitwa Auron Athanas

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Breaking

2/randomposts

About

30/recentposts