HOW TO REGISTER COURSE ON UDSM ARIS

 Habari zenu wadogo zangu. Basi naamini hamjambo. Mimi pia kaka yenu niko poa.

Kwa kawaida hili tatizo la kutojua mfumo wa uendeshaji wa masuala ya chuo humkumba kila mwanafunzi mpya anayekuja UDSM kusoma.

Hii ni kutokana na hali kuwa chuo ni kikubwa sana chenye kozi nyingi na college nyinhi sana.

Jinsi ya Ku-Register Course kwenye aris.

1. Ingia www.aris2.udsm.ac.tz kisha weka particulars zako ambazo ni Registration number pamoja na Pasword. Initial pasword itakuwa ni Surname yako kwa Herufi kubwa.

2. Tazama menu upande wa kushoto na Bofya kwenye course Registration.

3. Itaonekana namna hii


4. Bofya hapo nilipozungushia kisha subiri ifunguke.

5. Itafunguka namn hii


Weka Tick kwenye kibox mbele ya kozi unayoihitaji kuisoma kisha.. scroll mpka chini


Bofya hapo kwenye SAVE REGISTRATION


Kwa maswali na maoni Tafadhali nifuate whatsapp kwa kubofya HAPA

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Breaking

2/randomposts

About

30/recentposts