HOW TO READ AND PREPARE YOUR TIMETABLE (UDSM TIMETABLE)

 Chuo kikuu Cha dar es salam huwa hawaweki ratiba kwa mfumo wa hardcopy. Wanaiweka Online ili iwe rahisi kuiedit kila inapohitajika. Kwa hiyo unashauriwa kutembelea timetable.udsm.ac.tz mara kwa mara kutazama kama kuna mabdiliko kwenye rtiba yako.

Kwenye Post hii nimetolea mfano wa kozi ya DS 112 ambaye kila .wanafunzi wa mwaka wa kwanza ni lazima aisome.


Kwanza ingia timetable.udsm.ac.tz 

Itafunguka hivi


Upande wa kushoto hiyo list unayoiona ndio kozi zenyewe ambazo zinatambulika kwa code.

Scroll down mpaka ufikie code ya kozi unayohitaji kuitazama ratiba yake.

HAPA NAOMBA NIELEWEKE. 

Kila kozi ina ratiba yake, kwa hiyo kama Program yako kwa semista inatoa kozi 6 ina maana utatazama ratiba 6.

Usitegemee kuwa utakutana na mahali COHU BAED wana ratiba yenye kozi za masomo yao. No.. kila mmoja anajitazamia na kuipanga ratiba yake.

Kwa mfano leo tunatumia kozi ya DS 112


Bofya kozi husika. Mimi hapa nabofya DS 112 COHU BAED


Itafunguka namna Hii


Basi hapo kumbuka kuwa jambo la msingi unalotakiwa kuzingatia ni LECTURES sio Semina. Hizo semina utachagua mojawapo kulingna na utaratibu maalumu utakaopewa.


Kumbuka, usitishwe na wingi wa semina. Wewe utatakiwa kuhudhuria moja tu! Ila Lecture zote una jukumu la kuzisoma



Ukishapata Ratiba yako.


Tafuta karatasi na kalamu.. Andika pembeni siku ya lecture, Venue pamoja na muda wa kipindi.


Utafanya hivyo kwa kozi zako nyingine. Kisha utaiunganisha ratiba yako.


Karibu kwa maswali na maoni kupitia Whatsapp yangu kwa kubofya 

HAPA  (anza  na jina lako ili nisevu namba yako na wewe pia sevu namba yangu)

2 Comments

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Breaking

2/randomposts

About

30/recentposts