CAMSCANNER: JINSI YA KUTUMIA CAMSCANNER YENYE FEATURES ZOTE ZA PREMIUM BILA KULIPIA




Kati ya mambo ambayo nimekuwa nikiyafanya mimi ji kubadili hardcopy mbalimbali kuwa Soft. Hii inanirahisishia sana kuweza kudoma Notes zangu wakati wowote kupitia simu au kompyuta yangu. Sasa changamoto niliyokuwa nikiipata ni kujikuta nikijaza picha nyingi sana kwenye Gallery ya simu pia kujaza Memory ya simu yangu nikihifadhi softcopy hizo. 
Siku niliyopata akili ya kusema niziscan notes zangu nilikuwa nahitajika nitumie application ya ADOBE ACROBAT ambayo ilikuwa ikinihitaji nilipie kama dola 4 kwa mwezi. Mimi nisingeweza kulipia kiasi hicho cha pesa hivyo nikawa nikihangaika kutafuta solusheni. 
Katika pitapita zangu nikakutana na Application nzuri sana ya CAMSCANNER ambayo nilivutiwa nayo kwa kiasi kikubwa. 

Tatizo ilikuwa ni lazima kila Document nitakayoitengeneza, kwa chini ioneshe SCANNED BY CAMSCANNER. Pia kuna baadhi ya features nilikuwa nashindwa kuzifikia kama vile OCR, PDF to DOC n.k ambazo zilinihitaji nilipie pia kiasi kadhaa cha dola.

Basi yote hayo ndio yanayopelekea leo nawapa Suluhisho la kutumia CAMSCANNER iliyolipiwa moja kwa moja.. itakuwezesha kutumia kila Feature bila kizingiti chochote.


Kudownload CAMSCANNER PREMIUM bofya 


Maelezo mengine ya jinsi ya Ku-install na kutumia Application hii bofya 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Breaking

2/randomposts

About

30/recentposts